Hivi Ndivyo Nilivyoteseka Na Vidonda Vya Tumbo Kwa Miaka Mitano (5) Mfululizo, Nikaja Kupona Kwa Mwezi Mmoja Tu!
Mpendwa Rafiki,
Kama KWELI unataka Kupona VIDONDA VYA TUMBO na kusahau kabisa hali ya kujisikia vibaya tumboni mwako…
Ili uanze kula vyakula unavyovipenda bila kuwa na wasiwasi wa kupata maumivu makali baada ya kula …
Na kuondokana na karaha za tumbo lako kuunguruma hovyo, kujaa gesi au kupata kiungulia kikali mara kwa mara…
Ili usahau kabisa adhabu za kupata choo kigumu, au choo chenye asili ya mafuta (kuhara) au kinachotoka kama kinyesi cha mbuzi…
Na hatimae ukomeshe kabisa hali ya kujamba jamba hovyo kila wakati ili uanze kujiamini unapokuwa matembezi au unapokutana na watu wako wa maana…
Basi unahitaji kusoma kila neno katika makala hii kwa sababu;
Unaelekea Kugundua Njia Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haina Madhara Yoyote Mwilini Mwako Na Imethibitishwa Na Mamlaka za Afya Duniani Kote Kuponesha Vidonda vya Tumbo Moja Kwa Moja Na Visikurudie Tena!
Kwa majina naitwa Boni Mkomola.
Najua ni kwa jinsi gani Vidonda vya Tumbo vinakukosesha furaha ya maisha yako kwa sababu mimi pia nilikuwa na tatizo kama lako…
Nina uhakika kama ilivyokuwa kwangu hata wewe pia umejaribu njia mbalimbali za kutaka kuondokana na vidonda vya tumbo lakini umeishia kupoteza hela na muda wako kwa kutumia njia ambazo hazifanyi kazi...
Mambo yalikuwa hivi…
Ilikuwa mwaka 2016 mwezi wa 5 ndipo nilianza kujiona niko tofauti kabisa na kawaida yangu kiafya.
Nilikuwa napata uchovu usio wa kawaida, nilikuwa natamani kulala muda wote…
Ghafla tu! vyakula vyangu pendwa ambavyo nilikuwa napendelea kula kila siku vilianza kunipa adhabu kali…
Nilianza kujisikia vibaya sana tumboni mwangu, tumbo lilikuwa linajaa gesi sana na nilisumbuka na kiungulia kikali mno…
Kuna wakati nilikuwa nahisi kabisa nataka kujisaidia haja kubwa, lakini nikienda chooni naishia kujamba jamba tu hakuna kinachotoka…
Muda mwingine nilikuwa napata choo kidogo sana, kama hakikuwa cha kuharisha basi ni vipunje punje kama vya mbuzi au mara zingine nilikuwa najisaidia kama mafuta…
Mara nyingi nilihisi tumbo langu limejaa jaa sana kitu ambacho kilikuwa kinanifanya nisiwe huru…
Hadi kufikia hapo sikuelewa chochote kuwa ni kitu gani hasa kilichokuwa kinaendelea tumboni mwangu…
Kilichonikera zaidi ni hali ya tumbo langu kuunguruma mara kwa mara na kujamba jamba hovyo ushuzi uliotoa harufu kali mno…
Na kilichonitisha zaidi ni hali ya kila mtu kuona mapigo yangu ya moyo wazi wazi kila mahali, tumboni, shingoni, kwenye misuli ya kichwani na mikononi kwa kuniangalia tu… kila mtu alinishangaa!..
Muda mwingine moyo ulilipuka ghafla na kuanza kwenda mbio, nilikuwa naishi kwa hofu kubwa mno...
Nilihisi labda nina presha lakini kila nilipopima presha yangu ilionekana ipo kawaida, ilifika wakati nikaanza kusumbuliwa na ganzi mwilini…
Kila siku nilikuwa nastuka kwa nguvu usiku nakuhisi kama sina mkono...
Kwa sababu ule mkono ambao nilikuwa naulalia, ulikuwa unashikwa na ganzi kiasi cha kwamba nilikuwa nauona lakini nikijishika sihisi kama nimeushika.... Ni kama ulikuwa unapooza flani hivi...
Ili nirudi katika hali ya kawaida kutambua uwepo wa mkono wangu ilitakiwa niupige ukutani kwa nguvu kama kwa dakika moja ndipo naanza kuhisi maumivu kwa mbali na baadae nakaa sawa...
Kuna wakati nilikuwa napata kichefuchefu sana na kutapika hovyo hovyo muda mfupi tu baada ya kula...
Vyakula vingi vilikuwa vinanisumbua nikila, hali hiyo ilinifanya nikae na njaa muda mrefu kwa kuogopa kula…
Pamoja na mateso hayo yote, kitu nilichokuwa nategemea ni kununua dawa kwenye maduka ya madawa ambazo zilikuwa zinanituliza tu kwa muda mfupi...
Ilipofika mwezi wa 8 mwaka 2018 mambo yalibadilika kabisa homa ilikuwa imechachamaa kweli kweli na uwezo wa kuvumilia ulifika mwisho.
Nikaenda hospitali ya Regence Dar Es Salaam. Nilipofika nikamuona daktari aliniuliza maswali kadhaa namna ninavyojiskia akaniambia niende maabara…
Nilipimwa Full Blood Picture, nilivyorudisha majibu ya vipimo kwa daktari aliniuliza, umewahi kuumwa vidonda vya tumbo?
Nikamwambia hapana, akaniuliza tena unazijua dalili za vidonda vya tumbo? Nikamjibu hapana…
Akaniambia vipimo vinaonesha una vidonda vya tumbo na pia una bakteria wa H.Pylori tumboni…
Nilijiuliza imekuwaje napata hao bakteria ikiwa nakula vizuri vyakula ambavyo naamini ni mlo safi kwa maisha ya Mtanzania?
Ile taarifa ilinichanganya sana, kwa sababu wakati nasoma chuo kikuu kuna rafiki yangu alikuwa anaumwa vidonda vya tumbo na nilimshuhudia mara kadhaa akipoteza fahamu kutokana na maumivu ya vidonda vya tumbo.
Kilichonichanganya zaidi ni zile kauli za watu kwamba vidonda vya tumbo huwa haviponi…
Nikajisemea moyoni mwangu NITAPONA VIDONDA HIVI NDANI YA MIEZI MICHACHE TU!
Lakini cha ajabu nilitumia dawa za hospitali miaka miwili...
Taarifa mbaya ni kwamba Tumbo halikupona wala sikupata nafuu, badala yake niligeuka kuwa mtumwawa kumeza dawa kila siku.
Nikaona bora nijaribu na dawa za kienyeji (Mitishamba) lakini ndo mambo yalikuwa magumu zaidi…
Nilipoteza pesa, huku nikiendelea kuharibu afya yangu zaidi kwa sababu dawa zingine sikujua hata zilikuwa zinatengenezwa kwa kutumia vitu gani.
Kilichoniudhi zaidi ni ile hali ya kuzinunua zile dawa kwa gharama kubwa halafu nashindwa kumaliza dozi kutokana na namna zinavyokera kwa uchungu, harufu au kutokana na ladha yake mbaya.
Siku moja niliagiza dawa ya vidonda vya tumbo ya kienyeji kutoka kigoma, haikuwa dawa kwakweli hiyo ni pilipili tupu, muda mfupi tu baada ya kuitumia nilihisi nakufa.
Ile dawa ilinipa maumivu makali mno nikaamua kwamba sihitaji tena kutumia dawa za kienyeji.
Nilianza kuamini kwamba kweli vidonda vya tumbo haviponi kwa sababu nilitumia dawa aina nyingi sana za hospitali na za kienyeji hadi nikachoka na kuamua kuachana nazo kabisa…
Kitu kilichonisikitisha ni kupoteza pesa kila kukicha, lakini hali yangu haikubadilika hata kidogo…
Kuna dada yangu mmoja aliniambia, kama nataka kupona vidonda vya tumbo basi ninywe mkojo wangu.
Nilikaa wiki nzima nikiuwazia mkojo wangu niunywe au laa, na kila siku tumbo nalo lilikuwa linasumbua ni kama lilikuwa linanihamasisha kujaribu dawa mpya niliyoshauriwa.
Baada ya maumivu makali usiku mmoja, nikafanya maamuzi ya kunywa mkojo....
Niliamka alfajiri nikaenda chooni nikaukinga mkojo kiganjani, nilikunywa mkojo kama mafunda matatu hivi…
SIKUSHAURIunywe mkojo, unaharufu mbaya, unachumvi kali na ukakasi, siku nzima sikufurahia hali ya kinywa changu.
Lakini nilipambana wiki nzima kunywa mkojo mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni.
Sikuona mabadiliko yoyote zaidi ya kuchoshwa na kero za harufu ya mkojo nikaona bora niachane kabisa na dawa hiyo…
Wengine wakanishauri ninywe maziwa ya ng’ombe, lakini yakanishinda kwa sababu ilikuwa nikinywa gesi inanisumbua mara dufu…
Kuna rafiki yangu mmoja akanishauri nitumie virutubisho lishe kutoka kwenye kampuni anayofanyia kazi.
Nikamuuliza vinauzwaje? akanielekeza virutubisho vitavyofaa kumaliza tatizo langu, kwenye bei sasa nikaona hasara…
Nikaanza kufanya tafiti kupata virutubisho vya bei nafuu, kweli nikapata virutubisho nakumbuka kabisa hadi jina la ile kampuni lakini siwezi kuitaja hapa nikaharibu biashara za watu.
Nikanunua virutubisho nikatumia kwa miezi mitatu kama nilivyoambiwa kwamba nitakuwa nimepona kabisa, lakini hali haikubadilika hata kidogo.
Nikawa nimepoteza pesa kwa mara nyingine, nilipata huzuni iliyoambatana na hasira sana. Ikapita kama muda wa wiki moja hivi natafakari maana kazi haziendi na afya ni mgogoro kwelikweli…
Siku moja nilihudhuria mazishi sehemu fulani, kitu kilichonistua ni pale waliposema ugonjwa uliomuua marehemu ni Vidonda vya Tumbo.
Usiku ule sikulala kwakweli, nilikuwa kwenye dimbwi la mawazo mengi sana. Hii hali yangu mwisho wake lini?
Nikifikiria nina miaka mitano naumwa tu kila siku, je huko ndani hivyo vidonda vinafananaje?
Nikajiuliza tena kwani pesa na uhai wangu kitu gani ni muhimu?
Maana wakati huo nilikuwa na pesa nyingi tu, lakini ile hali ya kupoteza pesa bila kupatikana angalau nafuu ya tumbo langu ndiyo ilikuwa imenikatisha tamaa sana.
Nilijisemea moyoni mwangu,bora nijaribu tena.
Naweza kuonea hasara hizi pesa ambazo nimezitafuta mwenyewe mwisho wa siku wakaja kuzitumia kwa anasa wapumbavu ambao hata hawatahitaji kujua nilizipataje.
Asubuhi tu nikampigia simu rafiki yangu nikamuliza hivi ile dozi kamili ya kupona vidonda vya tumbo ni shilingi ngapi? Akanitajia bei nikamtumia pesa...
Kesho yake jioni nikaenda kuupokea mzigo wangu kwenye magari ya Dar. Nikapewa maelekezo namna ya kuanza kuitumia kesho asubuhi.
Dakika 30 tu baada ya kutumia juisi moja, ilitosha kuamini kwamba sasa naelekea kupona vidonda vya tumbo.
Maana baada ya kunywa ile juice moja tu niliskia ngurumo nyingi mno tumboni mwangu…
Ghafla nilisikia nahitaji kwenda chooni, kufika chooni kazi yangu ilikuwa ni kukaa tu, uchafu uliotoka sikuwahi kufikiria kama nilikuwa namiliki uchafu kiasi kile tumboni mwangu.
Kila siku nilikuwa napata choo kidogo sana, lakini ile siku nilipata choo kingi sijawahi kukiona tangu nizaliwe, cheusi na kina harufu kali mno...
Ndani ya masaa mawili nilikwenda chooni mara saba, mara nne za mwanzo uchafu uliotoka ulionesha kuwa ulikuwa umegandamana tumboni kwa muda mrefu sana.
Baadae yakaanza kutoka maji safi kabisa…
Ile juisi ni kama ilikwenda kusafisha utumbo kama vile utumbo wa mbuzi uwekwe kwenye koki halafu ufungulie maji kwenye bomba kwa spidi kali, unasafisha kila takataka iliyomo kwenye utumbo.
Kama yule rafiki yangu asingeniambia kwamba ndicho kinachokwenda kutokea kwa siku ya kwanza basi ningepata hofu kubwa sana.
Lakini kitu cha kufurahisha ni kwamba tumbo halikuuma hata kidogo na sikupata uchovu kama ambao mtu anaupata anapoharisha kwa kuugua…
Badala yake nilijiona nina nguvu tofauti na siku za nyuma na tumbo langu lilikuwa jepesi sana kiasi cha kuamini hakuna uchafu uliobaki tumboni.
Baada ya kutumia zile bidhaa wiki moja tu, nikaanza kulala fofofo, usingizi mzito kabisa ambao niliukosa kwa siku nyingi sana…
Ngurumo za tumboni zikapotea, gesi ilikuwa imekata kabisa, suala la kupata ganzi na kusikia kiungulia likatoweka.
Kichefuchefu kilitoweka na hali ya kujamba jamba hovyo iliisha, nikaanza kuwa na nguvu ''kama zamani''
Dozi ya mwezi mmoja tu iliniponesha kwa 100%.
Lakini niliongeza dozi ya mwezi wa pili ili kusambaratisha kabisa kero zote zilizonisumbua miaka mingi…
Baada ya dozi ya pili sikuhitaji tena kuongeza dozi ya mwezi wa tatu…
Watu wengi wanaonifahamu walikuwa wanashikwa na butwaa kuniona nakula vyakula ambavyo nilikuwa nivikwepa…
Wakawa wanahitaji niwaambie nimewezaje kupona vidonda vya tumbo? na je kwenye hiyo kampuni kuna bidhaa za kusaidia kuponesha magonjwa mengine?..
Ndipo nilianza kuwa wakala wa kusaidia watu kutatua changamoto zao za kiafya kama mimi nilivyosaidiwa…
Hivi sasa ni miaka minne tangu nipone vidonda vya tumbo, sijawahi hata kuhisi dalili ya vidonda, wala kupata maumivu ya tumboni na kero za vidonda vya tumbo zimebaki kama tu historia maishani mwangu...
Kitu ninachofurahia zaidi ni kuona siumwi umwi mara kwa mara kama ilivyokuwa zamani kabla sijatumia dawa hizi zilizoniponesha…
Lakini pia nimewasaidia watu wengi sana kutatua changamoto za vidonda vya tumbo na magonjwa mengine…
Pengine unatamani kujua nilitumia dawa gani ambazo zimenisaidia kupona vidonda vya tumbo.
Usijali ndani ya dakika mbili zijazo nitakwambia nilitumia nini lakini kwanza unatakiwa ujue kwamba…
Tafiti Za Kisayansi Zinaonesha Kwamba 70% Ya Kinga Ya Mwili Wa Binadamu Ipo Kwenye Mfumo wa Tumbo Lake!
Hii ni kwa sababu, tumboni kwako ndio kiini cha Afya yako yote kwa ujumla.
Mfumo huu unaanzia kwenye mdomo, unaenda tumboni, kwenye utumbo mwembamba na baadae kwenye utumbo mpana.
Lakini kuna viungo vingine ambavyo vinafanya kazi na mfumo huu kwa ukaribu sana, viungo hivyo ni Ini na Kongosho.
Utumbo wako mwembamba una urefu usiopungua mita tatu na nusu hadi mita tano.
Tafiti zingine zinaeleza kuwa urefu wako uwe mara tatu hadi mara tano ndio urefu wa utumbo wako mwembamba ndani ya tumbo lako.
Huu utumbo ni mrefu sana kwa sababu ndio ambao una kazi kubwa ya kunyonya 90% ya virutubisho kwenye chakula unachokula na kuingiza mwilini mwako.
Huu ndio utumbo unaoshambuliwa sana na vidonda vya tumbo…
Lakini utumbo mpana una urefu wa mita moja na nusu yaani futi tano kama upana wa kitanda cha tano kwa sita.
Huu kazi yake ni kunyonya maji, madini mbalimbali na virutubisho ambavyo havikunyonywa vizuri kwenye utumbo mwembamba…
Kwa kuwa mfumo huu wa mmeng’enyo wa chakula ndio kiini cha afya yako basi ubora au uimara wa afya ya mfumo huu unakufanya wewe uwe na afya njema maradufu…
Lakini kama mfumo wako ukiwa na hitilafu na ukashindwa kuchukua hatua za mapema kupata suluhisho la kudumu basi wewe na magonjwa yasiyoambukiza mtakuwa marafiki wakubwa sana…
Na dalili kubwa inayokuonesha kwamba mfumo wa tumbo lako haufanyi kazi sawa sawa ni kujisikia vibaya tumboni…
Hapa mtu huwa unajisikia hali tofauti tofauti tumboni mwako kama vile;
Tumbo lako kujaa gesi sana, kuunguruma mara kwa mara au kupata choo kigumu sana…
Au kupata choo kidogo sana cha punje punje kama za mbuzi au kuharisha utelezi kama mafuta…
Pia unaweza kupata kiungulia kikali na kichefu chefu mara kwa mara na wengine huwa wanatapika…
Dalili nyingine ni kujamba jamba hovyo, unaweza kwenda chooni kwa lengo la kujisaidia lakini unaishia kujamba jamba tu bila kutoa kitu chochote.
Vile vile unaweza kupata maumivu makali sana ya tumbo mara kwa mara au kuhisi tumbo limejaa jaa muda wote…
Dalili nyingine ni kupungua au kuongezeka uzito bila kufanya mazoezi wala kufanya diet..
Dalili nyingine ni Kukosa usingizi, kupata magonjwa ya ngozi au mwili kupata vimbe mbalimbali...
Vimbe kama vile Henia,Tezi, majipu, vimbe za tumboni, Vimbe kwenye njia za uzazi za wanawake (fibroids) na wengine husumbuliwa sana na alleji za vitu mbalimbali…
Dalili nyingine ni kuwa na hisia mbaya.Mtu unajikuta una hasira hasira sana, au una huzuni, au wasiwasi au msongo wa mawazo na kukosa morali ya kufanya shughuli zako za kila siku…
Chanzo Cha Kutengenezwa Dawa Iliyonisaidia Mpaka Nikapona Vidonda Vya Tumbo Na Visinirudie Tena.
Kama unavyofahamu kwamba huwezi ukatengeneza tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui kisababishi cha tatizo hilo ni kipi.
Lakini FOREVER LIVING PRODUCTS katika tafiti zao za muda mrefu wameweza kugundua moja ya visababishi vya tatizo hili la vidonda vya tumbo…
Na ugunduzi huu wa mojawapo ya visababishi vya vidonda vya tumbo kutokea ndio umepelekea shirika hili la kimarekani kugundua kanuni ya kutengeneza LISHE asilia kabisa ambazo zinaondoa tatizo hili kwa urahisi sana...
Kisababishi cha VIDONDA VYA TUMBO walichokigundua ni Bakteria Wabaya Ndani Ya Tumbo Lako.
Naomba nikuelezee:
Mchakato wa kumeng’enya chakula kwenye mwili wako ni mchakakato mrefu sana unaoanzia kwenye mdomo hadi uchafu unakoenda kutokea…
Nadhani umejionea mwenyewe jinsi utumbo ulivyo mrefu na namna ulivyojikunja humo tumboni mwako…
Kwahiyo kuna mambo mengi sana yanayotokea hapo katikati wakati wa umeng'enyaji wa chakula. Kama mambo yakienda vizuri hakuna tatizo…
Lakini mambo yakienda vibaya ndipo utajikuta unasumbuka na tumbo lako kwa muda mrefu, na hii inategemea sana wewe huwa unaingiza nini kwenye tumbo lako…
Kwa sababu kila unachoingiza ndani ya tumbo lako ni eidha kinakusaidia kupambana na magonjwa au huwa kinaingiza magonjwa ndani ya mwili wako...
Kwa sababu ndani ya tumbo lako kuna matrilioni na matrilioni ya bakteria. Wapo bakteria wazuri lakini pia wapo bakteria wabaya…
Sasa ili uwe na afya njema ya tumbo lako, unatakiwa uwe na uwiano mzuri wa bakteria ndani ya tumbo lako, yaani uwe na bakteria wengi wazuri kuliko bakteria wabaya.
Watu wengi mamekuwa wakihusisha moja kwa moja maumivu ya tumbo, au hitilafu zinazojitokeza tumboni kuwa ni vidonda vya tumbo kwa 100% kitu ambacho sio sahihi.
Unaweza ukawa unaumwa tumbo kila siku au unapata kero mbali mbali ndani ya tumbo lako kila wakati na usiwe na vidonda vya tumbo…
Bakteria wabaya tumboni mwako wanatosha sana kukupa adhabu kali ambazo usipokuwa na imani utahisi umerogwa na ukoo mzima…
Tafiti za kisayansi zimethibitisha kwamba, kuwa na bakteria wengi wabaya ndani ya tumbo lako wanasababisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula kushindwa kufanya kazi zake sawasawa.
Na hitilafu za mfumo wako wa chakula ndio chanzo kikuu cha magonjwa Saba ambayo hayaambukizi, lakini ndiyo yanayoongoza kuua watu kwa kasi zaidi kwa sasa duniani…
Magonjwa hayo ni; Magonjwa ya moyo na mzunguko wa Damu,Tezi Dume, Kisukari, Kansa, Presha, Vidonda vya Tumbo na Homa za Mifupa.
Watu wengi wamekuwa wakihangaika kutaka kujiondoa katika changamoto za magonjwa sugu ambayo hayaambukizi kwa kutibu matokeo yake tu bila kujua ni nini hasa MZIZI wa magonjwa hayo…
Hapa naamanisha kwamba; Watu wanatamani sana kupona Kisukari, Tezi dume, Presha, Moyo, Vidonda vya Tumbo, Maumivu ya Mifupa na Kansa lakini hawajui ni kwanini wanaumwa magonjwa hayo…
Unachotakiwa kujua ni kwamba kuharibika kwa mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula ndio chanzo kikuu cha mwili wako kuwa chaka la Magonjwa Sugu.
Ni Kwa Namna Gani Bakteria Wabaya Ndani Ya tumbo Lako Wanasababisha Vidonda Vya Tumbo Na Magonjwa Mengine Yasiyoambukiza Kutokea?
Kinachosababisha mfumo mzima wa tumbo kuharibika na kusababisha vidonda vya tumbo na magonjwa mengine yasiyoambukiza ni BAKTERIA WABAYA.
Kivipi? Ni kwa namna ifuatayo;
Bakteria wabaya wa tumboni huathiri na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili wako, hivyo kufanya mwili uwe dhaifu na kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa mengine.
Uwepo wa bakteria wabaya katika mfumo wa utumbo unasababisha mfumo wa kumeng'enya chakula kufanya kazi vibaya, na hivyo kuongeza hatari ya magonjwa mengine kama vile matatizo ya presha, kisukari au unene wa kupindukia.
Lakini pia bakteria wabaya wa tumboni husababisha magonjwa, kwa mfano bakteria wa H. pylori, wanahusika moja kwa moja na magonjwa kama vile vidonda vya tumbo na hata kansa ya utumbo.
Bakteria hawa wanasababisha maumivu makali sana na shida za kiafya ambazo zinaweza kudumu kwa muda mrefu ikiwa hawatadhibitiwa ipasavyo.
Vile vile bakteria wabaya wa tumboni wanaharibu utando laini unaofunika sehemu za ndani za mwili katika njia ya utumbo, utando huu ndio ambao unalinda tishu, sasa kuharibika kwa utando huo kunasababisha maumivu makali, vidonda, na uvimbe ndani ya tumbo lako…
Si hivyo tu, bakteria wabaya wanasababisha Upungufu wa Virutubisho ndani ya mwili kwa kushambulia njia ya utumbo…
Vile vile bakteria wabaya huzalisha sumu ndani ya mwili wako ambazo zinasababisha uchochezi na kuharibu seli za mwili.
Kumbuka kwamba seli za mwili wako ndio wanajeshi wanaoulinda mwili wako usishambuliwe na magonjwa. Kwahiyo Seli zinavyoharibika ndipo magonjwa yanapoingia mwilini mwako bila kizuizi chochote.
Kwa mfano, baadhi ya bakteria wabaya wa tumboni kama vile Salmonella wanatoa sumu ambazo zinasababisha mtu kuhara, kupata kichefuchefu, kutapika, kupata homa na maumivu makali sana ya tumbo.
Kwa hiyo ni muhimu sana kuchukua hatua za kuzuia na kutibu maambukizi ya bakteria wabaya tumboni ili kuhakikisha unakuwa na afya bora ya utumbo na mwili wako wote kwa ujumla.
Kila Kitu Kinachotokea Mwilini Mwako Lazima Kina Chanzo Chake. Ngoja Nikuoneshe Chanzo Cha Bakteria Wabaya Ndani Ya Tumbo Lako.
Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asili yake ni kuwa na bakteria. Na kama nilivyokueleza mwanzo kwamba ndani ya tumbo lako kuna bakteria wazuri na bakteria wabaya...
Kwa mtu ambaye ana afya nzuri ya utumbo anatakiwa awe na 85% ya bakteria wazuri na 15% au chini yake wawe bakteria wabaya. Huu ni uwiano mzuri wa afya ya tumbo iliyo sawasawa.
Bakteria wabaya wakizidi kwenye tumbo lako huu mfumo unapata hitilafu kwa sababu hawa bakteria wabaya wataharibu utendaji kazi wa huu mfumo na kukuletea madhara makubwa sana ya kiafya.
Chanzo kikuu kinachosababisha kuharibika kwa mfumo wako wa tumboni ni wewe mwenyewe kuwaua bakteri wako wazuri ambao ndio ulinzi wako…
Vitu vinavyoharibu bakteria wazuri tumboni mwako ni pamoja na kutokula vyakula vya nyuzi nyuzi, mboga mboga na matunda..
Vile vile ulaji wa kemikali nyingi zinazopulizwa kwenye mboga za majani, nafaka, matunda, na vyakula vingi na vinywaji vya viwandani…
Kwa hiyo unaweza ukawa unakula mbogamboga, nafaka na matunda kwa wingi kumbe ukawa unaingiza kemikali nyingi kupindukia kutokana na mfumo wa maisha ya sasa kwa watu wanaofanya kilimo biashara…
Wanachojali ni PESA TU na sio AFYA yako...
Unywaji wa pombe pia unasababisha kuwaua bakteria wazuri tumboni mwako. Na siku hizi kuna viwanda bubu vingi mno vya kutengeneza pombe feki za kila aina....
Matumizi ya dawa za hospitali au Antibiotics yanaua sana bakteria wazuri tumboni kwako.
Mfano mzuri wadada wanatumia sana antibiotics na ndio wanaosumbuliwa sana na hormonal inbalance, alleji, maumivu makali ya hedhi, homa na hisia mbaya mara nyingi…
Lakini pia kutokufanya mazoezi na uvutaji wa sigara unaua bakteria wazuri tumboni kwako…
Kutokulala masaa yanayotakiwa pia kunaua sana bakteria wazuri tumboni mwako.
Madhara ya kutopata muda wa kutosha wa kulala vizuri kwa wale wenye kazi za kukesha au wanaokosa usingizi kwa sababu mbalimbali ni kama vile kupata presha, kisukari, kunenepa sana na kwa wanaume kupungukiwa nguvu za kiume…
Vile vile msongo wa mawazo wa muda mrefu unaharibu sana bakteria wako wazuri wa tumboni.
Kitu muhimu unachotakiwa kukijua ni kwamba magonjwa yote yasiyoambukiza yanasababishwa na wewe mwenyewe kutokana na unavyoyaendesha maisha yako ya kila siku...
Hapa inahusisha ni vyakula gani huwa unakula kila siku, au unakunywa vinywaji gani kila siku na unatumia masaa mangapi kuupumzisha mwili wako kila siku (kulala)...
Na ndio maana watu wengi wamekuwa wakiugua kwa miaka mingi, huku wakitumia dawa kila siku lakini hawaponi magonjwa yao na wao hawaachi kutumia dawa zao.
Swali la kujiuliza ni je? kwanini mtu unatumia dawa? Jibu ni rahisi tu, ili upone ugonjwa wako…
Je tangu umeanza kutumia dawa sasa hivi ni miaka mingapi? Hizo dawa zitakuponesha lini?
Mbona hizo dawa huziachi na Ugonjwa wako hauponi?
Habari mbaya ninayokupa leo ni kukuhabarisha kuwa ''magari mabovu huwa hayavutani abadani asilani...''
Kitu usichokijua ni kwamba unavyozitumia hizo dawa kwa muda mrefu ndio unaongeza tatizo mara dufu kwa sababu dawa zina kemikali ambazo zinaenda kuwaua bakteria wako wazuri na kukuacha na bakteria wabaya wakirundikana tumboni mwako…
Bakteria Wabaya Tumboni Mwako Ni Kama Mikopo Ya Vikoba Inavyotesa Watu Na Familia Zao!
Watu wengi wanapochukua mikopo kwenye vikoba wanahisi kama zile fedha ni za hisani tu na kuanza kula raha bila kufanyia mambo ya msingi…
Na wengi wao badala ya kupambana kumaliza madeni kwa wakati, wanajitia janja janja ya kulipa riba tu na kufanya top up ya mikopo..
Mwanzoni huwa haioneshi athari yoyote lakini kivumbi kinakuja kuonekana siku ya kuvunja vikoba…
Watu hujikuta wapo kwenye madeni makubwa na wakiwaza riba ambazo wamelipa na zenyewe ni kubwa halafu pia akifikiria vikoba vikivunjwa hapati chochote…
Hapo ndipo mtu anapochanganyikiwa na kuanza kutafuta huruma kwa kushindwa kulipa na kupoteza vitu vyake vingine vya thamani ambavyo alivitafuta kabla hata vikoba havijaanza…
Ndivyo bakteria wabaya wanavyofanya mwilini mwako…
Wanaanza kuingia pole pole kwenye mfumo wa tumbo lako na baadae wakienea wanaharibu mifumo yako yote ya afya…
Wanapoanza kuingia kuna dalili ambazo si za kawaida unaanza kuziona mwilini mwako. Unaanza kupata dalili ndogo ndogo ambazo zinakuwa kama madeni madogo madogo ya vikoba watu wanavyoshindwa kuyalipa kwa wakati…
Mara tumbo limejaa gesi, mara unaharisha, mara kichefuchefu, mara kiungulia,mara choo kigumu, umenenepa ghafla, hasira hasira hazikuishi, mara hupati choo, mara tumbo linauma n.k…
Haya ni madeni ya kiafya ambayo unashindwa kuyalipa yakiwa katika hatua za mwanzo kabisa…
Unapolimbikiza magonjwa mwilini mwako mifumo yako ya mwili inaharibika pole pole mwisho wa siku unajikuta umeshazama katikati ya magonjwa sugu ambayo yanakuhitaji uyatumikie kwa kumeza dawa kila siku na kuhudhuria hospitali kila mwezi…
Kama Una Vidonda Vya Tumbo Basi Bakteria Wabaya wa Tumboni mwako Ndio Mzizi Wa Tatizo!
Tazama, kisababishi kimojawapo cha vidonda vya tumbo na magonjwa mengine yasiyo ambukiza ni Bakteria wabaya.
Kwahiyo, Bakteria wabayawasipodhibitiwa wataendelea kuzalisha sumu nyingi mwilini mwako ambazo zitapelekea mwili wako kushindwa kufanya kazi zake vizuri na mwisho kusababisha magonjwa sugu.
Forever Living Products kwa kuligundua hilo wamefanikiwa kugundua kanuni ya kutengeneza Lishe ambayo;
Kwanza, inakwenda kusafisha mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula kwa kuwaondoa bakteria wabaya wote na kuzalisha bakteria wazuri ambao wataanza kuupa kinga ya kutosha mwili wako.
Pili, Lishe hii inakwenda kuujenga mwili wako upya kwa kuupa virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika mwilini hivyo kuufanya mwili uanze kurudi katika afya njema “Kama Zamani”...
Si hivyo tu…
Kwakuwa kuharibika kwa mfumo huu wa mmeng'enyo wa chakula ndio chanzo kikuu cha magonjwa yote sugu yasiyoambukiza kama vile Kisukari, Presha, Kansa, Tezi Dume, Moyo na viungo kuuma basi lishe hii itasambaratisha magonjwa hayo yote kwa pamoja…
Lishe hii pia imetengenezwa katika namna ambayo itasaidia kupunguza kasi ya kuzeeka na pia itakufanya usiumwe mara kwa mara kwa sababu mwili utapata virutubisho vyote muhimu ambavyo unavikosa kwenye vyakula vyako unavyokula kila siku…
Kama wewe ni mwanaume na una changamoto ya nguvu za kiume pindi utakapotumia lishe hii basi utamshangaza mkeo…
Kwakuwa kazi ya lishe hii ni kurejesha afya yako katika hali yake ya awali, Forever Living Products wameipatia lishe hii jina la “Recovery Pack” (RP).

Hii RP ni package ambayo imetengenezwa kwa virutubisho lishe kutokana na matunda, mbogamboga na mimea asilia ikiongozwa na mmea wa Alovera aina ya Aloe Barbadensis Miller ambayo ni moja ya aina bora za alovera kwa matumizi ya bidhaa za afya na urembo.
Virutubisho hivi vina upekee wa kuweza kuponesha vidonda vya tumbo, kusambaratisha magonjwa sugu na kuimarisha afya yako haijawahi kutokea.
Ukianza kutumia virutubisho hivi suala la wewe kwenda hospitali au kumeza meza dawa hovyo hovyo itakuwa ni historia…
Vurutubisho hivi vimetengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo havitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako.
Si hivyo tu...
Virutubisho hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa (FDA) duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.
Forever Living Products ni Kampuni ya Kwanza Kupokea Muhuri wa Kuidhinishwa na Baraza la Kimataifa la Sayansi la Alovera kwamba bidhaa zao zina kiwango cha alovera zenye ubora wa Kimataifa.
Lakini pia virutubisho hivi vimethibitishwa na kuwekwa nembo na Wayahudi kama Alama Inayokubalika ya Kimataifa ya Usalama, Usafi na Ubora wa hali ya Juu wa Chakula unaotambulika na Kuheshimiwa Ulimwenguni kote.
Vile vile virutubisho hivi vimethibitishwa na Sheria za Chakula za Dini ya Kiislamu na kupewa Cheti na nembo ya Halal. Ikimaanisha ni chakula kinachoruhusiwa kuliwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu.
Si hivyo tu Forever Living Product ni mwanachama wa chama cha uuzaji wa moja kwa moja yaani bidhaa ikitoka kiwandani inakwenda sokoni bila kwenda kupimwa au kuthibitishwa na vyombo vingine vya usalama wa chakula na dawa kwa sababu ubora wa bidhaa zake umethibitishwa kimataifa na unaheshimika Duniani kote.
Ukipokea package yako ya RP utaziona nembo zote za uthibitisho kwenye kila bidhaa…
Kwa kuongezea hizi bidhaa zinauzwa duniani kote, hii ni uthibitisho kwamba kila nchi imechunguza na kujiridhisha kwamba hizi bidhaa zina ubora wa kutumika katika nchi zao.
Lingine la kufurahisha zaidi ni kwamba; hizi sio dawa bali ni virutubisho lishe ambavyo mtu yeyote anaweza akatumia bila kujali anaumwa au yuko mzima, hizi ni kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili pamoja na kupambana na magonjwa yaliyoingia mwilini.
Naomba nikuibie siri tu ya kuanzisha kwa kampuni hii…
Lengo kuu la kutengenezwa kwa bidhaa hizi ni kupunguza kasi ya watu kwenda hospitali kwa kutoa lishe ambazo zitawafanya watu kuishi muda mrefu bila kuumwa umwa…
Kwahiyo, wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baada ya kutumia bidhaa hizi uweke pembeni kabisa. Bidhaa hizi ni salama kwa afya ya mwili wako.
Utakapoanza kutumia bidhaa hizi siku hadi siku, wiki hadi wiki utashangazwa sana kwa mabadiliko utakayoyaona.
Kero zote na maumivu yote tumboni mwako yataanza kuondoshwa kama yanavyoyeyuka mafuta yaliyoganda kwenye kikaango cha moto.
Utaanza kulala fo fo fo bila shida yoyote. Hali ya kujisikia vibaya tumboni mwako kila wakati itaondoka kabisa...
Kiufupi baada ya kutumia package hii changamoto na karaha zote zitokanazo na maumivu ya tumbo utazisahau kabisa.
Hakika Bidhaa Hizi Ni Tiba Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haijawahi Kugunduliwa!
Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia package hii wana yafuatayo ya kusema:
Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia package hii wana yafuatayo ya kusema:















Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga walioteseka na tatizo kama lako baada ya kutumia Package hii ya “Recovery Pack”...
Usichelewe kuchukua pack yako kwa sababu usipolishughulikia kwa uhakika hilo tatizo, Basi tatizo litakushughulikia wewe kwa uhakika...
Sitaki baadae unitumie meseji kama aliyonitumia huyu mtu hapa chini ambae niliwasiliana nae miaka mitatu bila kufanya maamuzi na mwisho wa siku akanitumia ujumbe huu hapa chini...

Dozi kamili ya kuponesha Vidonda vya tumbo na kusambaratisha kabisa bakteria wabaya tumboni mwako mpaka ukapona na wasijirudie tena ni ya siku 90.
Kama tatizo lako sio la muda mrefu sana kuna uwezekano wa kuwahi kupona kabisa kabla ya siku 90.
Lakini hata kama utawahi kupona kabla ya siku 90 tunashauri umalize dozi kamili ili kuhakikisha vimelea vyote vya bakteria vimeondolewa tumboni kwako.
Matumizi ya RP ni kama ifuatavyo. Unatumia kutwa mara mbili ukiweza mara tatu haidhuru.Unatumia asubuhi, mchana na jioni.
Wakati wa asubuhi utatumia nusu saa kabla ya kula kitu chochote na wakati wa mchana au usiku unaweza kuamua kutumia nusu saa kabla au baada ya chakula.
Na endapo kuna dawa zingine unatumia usiziache ghafla kwa sababu utaupa mwili mstuko. Unachotakiwa kufanya endelea kuzimeza kwa muda ukiona umeanza kupata nafuu kubwa ndipo uziache.
Na ukitaka kutumia hizi bidhaa tofautisha nusu saa kabla au baada ya kumeza dawa zako za hospitali kama unavyofanya kabla au baada ya chakula...
Lakini kumbuka hizi bidhaa hazimdhuru mtu yeyote kwa sababu sio dawa bali ni vyakula lishe…
Kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa utaanza kuona mabadiliko kwenye afya yako…
Na baada ya mwezi mmoja au zaidi utaona madailiko makubwa sana na Maumivu ya tumbo lako yatakuwa yamekwisha Kabisa.
Recovery Pack (RP) Inagharimu Kiasi Gani ?
Virutubisho vya aina kama ya Recovery Pack kutoka makampuni mengine dozi kamili ni Tsh. 3,000,000/=
kwahiyo nikisema dozi ya RP utaipata kwa Tsh. 2,000,000/= itakuwa ni bei rafiki sana.
Ukizingatia Forever Living Products wametumia mabilioni ya pesa kufanya utafiti wa kugundua RP na pia utengenezaji wa lishe hii unatumia teknolojia ya kisasa hivyo gharama zinazotumika kutengeneza RP zipo juu sana.
Kwahiyo kwa Tsh.2,000,000/= unakuwa umepata bei rafiki ukilinganisha na bei ya makampuni mengine.
Lakini unajua nini? Hutalipia hiyo Tsh.2,000,000/= kupata dozi kamili ya RP.
Pesa utakayolipia hata haifiki nusu ya hiyo milioni mbili.
Unaweza ukajipatia dozi kamili ya RP kwa…
TSH 610,000/= TU.
Kuna sababu kwanini nimeamua kutoa punguzo la bei kubwa sana kwa kiasi hicho.
Sababu ni kwamba napata wateja wengi kupitia watu ambao wamepona kwa kutumia RP na wengine wananiomba niwapeleke kwenye kampuni na wao wawe mawakala wa kusaidia watu wengine wanaowafahamu...
Na wengine wanapenda tu kuzinunua hizi bidhaa wao wenyewe moja kwa moja kwenye kampuni yetu kwa punguzo la bei...
Hapa namaanisha watu ambao wamepona kwa kutumia RP wamekuwa mabalozi wazuri wa kuniletea watu wengi wenye changamoto ya vidonda vya tumbo na wale ambao wanajali afya zao hata kama hawaumwi...
Kwasababu hiyo ndio maana nimetoa punguzo la bei ili kukupatia urahisi wa kupata dozi ya RP.
Kwakua nina imani 100% dozi hii itakusaidia kupona Vidonda vya Tumbo na magonjwa mengine sugu hivyo hata wewe utakuwa balozi wangu mzuri wa kuniletea wahanga wengine.
Na hata hivyo...
Kama utashindwa kutoa Tsh. 610,000/= yote kwa pamoja usijali unaweza kuchukua kidogo kidogo mpaka kumaliza dozi kamili.
Nimeweka utaratibu wa mtu kuchukua kwa awamu. Unaweza ukachukuwa robo ya dozi, nusu ya dozi au dozi kamili.
Lakini punguzo hili la bei na utaratibu huu wa kuchukuwa kwa awamu hautakuwepo siku zote.
RP inatengenezwa marekani. Kwa sasa mzigo ambao tumebaki nao kwa hapa Tanzania ni Dozi ya watu 50 tu.
Kwahiyo, kwa watu 50 watakaokuwa wa kwanza kununua RP watapata OFA hii ya punguzo la bei kwa kiwango chochote watakachokuwa wameanza nacho na watasajiliwa kwenye “Club” inayoitwa “Kama Zamani ” .
Ukisajiliwa kwenye club hii faida yake ni kwamba utakuwa unapata elimu ya bure kila siku kuhusu magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza kupitia group la whatsap na utaruhusiwa kuuliza swali lolote la kiafya muda wowote na utajibiwa na wataalamu wa afya...
Vile vile utakuwa unahudhuria vikao mbalimbali vya afya kila wiki vinavyoandaliwa na wataalamu wa magonjwa mbalimbali kupitia simu yako ya mkononi kwa kupewa link ambayo utajiunga kwenye kikao ukiwa nyumbani kwako, ofisini au hata ukiwa unasafiri.
Lakini pia utaendelea kupata punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hata kama bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.
Watu 50 wanaonekana wengi lakini kumbuka Tangazo hili linaonekana kwa Watanzania wote wenye simu kubwa za kuweza kuingia mtandaoni…
Wengi wao ni watu ambao wamechoka kuendelea kupoteza muda na pesa kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi. Kwahiyo, nina uhakika ndani ya siku kadhaa au wiki kadhaa watu hao 50 watakuwa tayari wamechukuwa ODA zao.
Baada ya Oda hizo 50 kuchukuliwa Hutopata tena punguzo la bei ambalo tunalitoa kwa watu hawa 50.
Na sio hivyo tu...
Kama utapitwa na OFA hii itakubidi ujiandae kulipia bei mpya ambayo itatangazwa baada ya mzigo mpya kuingia Tanzania ambao utapanda bei wakilinganisha na thamani ya Dola itakavyokuwa kwa muda huo.
Lakini pia kukufahamisha tu, unatakiwa kujua kwamba; ugonjwa wako ni biashara za watu kwa sababu unanunua dawa zao kila siku na hauponi hivyo wanakuchukulia wewe kama chuma ulete wao…
Hivyo sio kwamba ukurasa huu utaweza kuupata kila siku utavyoingia mtandaoni.
Watu hao wanapambana kufuta kurasa za watu ambao wamedhamiria kuwasaidia watu kuponesha magonjwa na kuwaonesha namna ya kuepukana na hayo magonjwa...
Ili pesa wanazotumia kwenye maduka ya madawa kwa miaka mingi wazibadilishie uelekeo ili wazipeleke kwenye maendeleo baada ya kupona kabisa magonjwa yao…
kwa hiyo ni vema ukafanya maamuzi ya haraka ili uweze kutatua tatizo lako moja kwa moja kabla hujajuta baada ya ukurasa huu kupotea mtandaoni…
Usipange kusubiri kwa sababu unaweza ukajikuta ugonjwa unakutesa zaidi kiasi cha madhara yake kuwa makubwa zaidi..
Sikuombei itokee hivyo lakini ni vyema ukachukuwa Oda yako mapema kwasababu zipo Oda za watu 50 tu kwa sasa...
Pengine umetumia dawa za aina mbalimbali lakini hazijakusaidia kupona tatizo lako. Zaidi umeishia kupoteza pesa zako bure na unaogopa kuzidi kupoteza.
Naelewa unavyojisikia lakini kukuhakikishia kwamba RP itakusaidia kuondokana na tatizo lako na likaisha kabisa, nakuuzia bidhaa hizi kwa dhamana (Guarantee)...

Dhamana hii iko hivii...
Tumia dozi ya RP kwa muda wa siku 90 nina uhakika utaipenda. Ikitokea kwa sababu yoyote ile hujaipenda RP au haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0717738506 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Aidha Recover Pack ikusaidie upone tatizo lako kabisa au nikurudishie pesa zako zote. Huna cha kupoteza.
Hata hivyo nina uhakika utakavyoanza kuitumia RP siku hadi siku,wiki hadi wiki utastaajabishwa kwa matokeo utakayoyapata na wala hutokumbuka tena kuomba kurudishiwa pesa zako kwa sababu utakuwa umejawa na furaha ya kuondokana na maumivu makali na kero zingine za vidonda vya tumbo…
Unachotakiwa kufanya kwa sasa angalia mpangilio wa dozi hapa chini kisha tuma oda ya dozi utakayoanza nayo…
Dozi kamili 2000,000 610,000/=
Nusu Dozi1,000,000 310,000/=
Robo Dozi 670,000 215,000/=
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya LIPA NAMBA ya Mixx By Yas (TigoPesa)
18 46 78 22 Jina ni Boniface George Mkomola.
Au
CRDB Bank Acc No 0152319628200 Jina ni Boniface George Mkomola.
Au piga simu 0717738506 nikuelekeze namna ya kulipia wewe mwenyewe kupitia lipa namba ya kampuni...
Weka “ODA YAKO” ukiwa Mkoa wowote nitakusafirishia mzigo wako Bureee kabisa kwa mikoa yote ya Tanzania.

Weka “ODA YAKO”.
Kwa kulipia Dozi uliyoichagua kisha nitumie muamala wako kama uthibitisho wa oda yako ili nikutumie RP yako.
Kujaza fomu ni rahisi sana.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa ''ODA YANGU'' . Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako (Taarifa zako zitakuwa SIRI kwa hiyo zitatunzwa na hakuna mtu mwingine tofauti na mimi atakaejua kuhusu tatizo lako)
Bonyeza sehemu hii sasa hivi.
Baada ya oda yako kuthibitishwa utaipata package yako ya RP ndani ya masaa 24 tu.
Ahsante kwa muda wako.
Ni mimi,
Boniface George Mkomola
>>>0717738506<<<
P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu 50 tu kwa sasa. Saa iliyopo hapo chini itakaposoma sifuri maana yake oda zote zitakuwa zimechukuliwa na tangazo hili hutaliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kuutangaza kwa mara nyingine.
Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.